AC MILAN, VALENCIA WAMLIA RADA BEKI ELIAQUIM MANGALA WA MANCHESTER CITY

AC Milan na Valencia wote wanafukuzia saini ya beki wa Manchester City, Eliaquim Mangala (25), baada ya klabu hiyo kudai kuwa hawana mpango wa kuendelea na Mfaransa huyo.

No comments