AITOR KARANKA ATAKA MAFANIKIO KABLA YA KUIHAMA MIDDLESBROUGH

KARIBU miaka mitatu sasa akiwa mitaa ya Riverside, beki na kocha msaidizi wa zamani wa Real Madrid, Aitor Karanka hayuko tayari kuihama klabu ya Middlesbrough kwa sasa mpaka pale atakapopata mafanikio kwenye Ligi Kuu ya England.  

No comments