AJAX YAMSAINISHA BERTRAND TRAORE MKATABA WA MKOPO WA MIAKA MITATU

TIMU ya Ajax imemsainisha kwa mkataba wa mkopo wa miaka mitatu kinda wa Chelsea, Bertrand Traore.


Gazeti la De Telegraph liliripoti juzi kwamba Chelsea imeshatia baraka zote ili kinda huyo akacheze kwa vinara hao wa soka Uholanzi.

No comments