ANTONIO CONTE AMTENGEA WINGA ANTONIO CANDREVA WA LAZIO PAUNI MIL 55

KOCHA mpya wa Chelsea, Antonio Conte amemtengea pauni mil 55 winga wa klabu ya Lazio ya Italia, Antonio Candreva.

Mchezaji huyo mwenye miaka 29 amemwambia mlinzi mwenzake wa timu ya taifa ya Italia, Leonardo Bonucci kwamba anatamani kwenda kucheza soka nchini Uingereza ambako kuna ushindani mkubwa tofauti na Italia.

No comments