ARSENAL SASA NI SHIDAH! MUSTAFI WA VALENCIA ATUA EMIRATES KWA PAUNI MIL 35


Mustafi was Arsenal's second signing of the day following the £17m arrival of Lucas Perez
Arsenal imekamilisha usaji wa sentahafu Shkodran Mustafi kutoka Valencia kwa pauni milioni 35.

Beki huyo kisiki wa Ujerumani mweye umri wa miaka 24, anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa ndani ya siku moja baada ya mshambuliaji Lucas Perez  kutua Emirates kwa pauni milioni 17.
Arsenal have completed the signing of Germany centre back Shkodran Mustafi from Valencia
 Shkodran Mustafi akipozi na jezi ya Arsenal baada ya kukamilisha usajili wake
No comments