ASENAL YAUNGANA NA GALATASARAY KATIKA VITA YA KUMWANIA BEKI JASON DENAYER WA MAN CITY

TIMU ya Arsenal inasemekana kuingia katika vita dhidi ya Galatasaray, ikimwania beki wa Manchester City, Jason Denayer.


Gazeti la The Sun liliripoti juzi kwamba hatua hiyo imekuja baada ya staa huyo mwenye umri wa miaka 21 kuwa na mpango wa kutaka kurejea nyumbani kwao Uturuki kwa mkopo.

No comments