Habari

BAADA YA KUTWAA KOMBE LA OLIMPIKI …KOCHA WA BRAZIL AMVULIA KOFIA NEYMAR

on

Forwards: Neymar (Barcelona), Gabriel Barbosa (Santos), Gabriel Jesus (Palmeiras) and Taison (Shakhtar Donetsk).
Brazil's Neymar weeps as he kneels down to celebrate after scoring the decisive penalty kick during the final match of the men's Olympic football tournament ...
KOCHA wa Brazil, Rogerio Micale amesema anaumiza kichwa kujua ni namna gani ataweza kuzaliza wachezaji wenye kipaji kama cha Neymar aliyechangia Brazil kutwaa medali ya dhahabu kwenye Olimpiki kwa upande wa soka. 
Akizungumza baada ya kuhojiwa kuhusu uwezo wa nahodha wake, Micale
alisema kuwa Neymar ni mchezaji mwenye kipaji cha aina yake.
“Ana kipaji cha hali ya juu. Ana uwezo wa aina yake na tunataka
kufahamu ni jisi gani alivyojiendelezea ili tuweze kupata wachezaji wengine
kama yeye,” alisema kocha huyo.
“Tunaendelea kuchunguza ili tuweze kufahamu uwezo wake,” aliongeza
kocha huyo.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *