BARCELONA MBIONI KUMKAMATA STRAIKA PACO ARCACER WA VALENCIA

TIMU ya Barcelona inasemekana kuwa katika hatua za mwisho za kumnasa straika wa Valencia, Paco Arcacer.


Mtandao wa Sport ulieleza juzi kuwa mazungumzo bainai ya pande zote mbili yameshakamilika na kilichobaki ni kwa nyota huyo kumwaga wino kwenye mkataba wake.

No comments