CESC FABREGAS KUNG'OKA CHELSEA KWA DAU LA EURO MIL 45

CHELSEA imetangaza kitita cha euro mil 45 kuwa ndio kiwango kinachoweza kulipwa na klabu yoyote inayomuhitaji Cesc Fabregas.


Klabu ya Juventus ambayo inamfukuzia kwa udi na uvumba, imeambiwa kuwa ikitoa kitita hicho itamchukua mara moja.

No comments