Habari

CHELSEA YAIKALISHA WEST HAM 2-1 PREMIER LEAGUE …DIEGO COSTA AFANYA VITU VYAKE

on

Harard's clinical strike at Stamford Bridge on Monday night was Chelsea's 5000th top-flight goal
MSIMU mpya, kocha mpya lakini Diego Costa yule yule – mkorofi kupindukia – japo mwisho wa siku alipelekea kicheko Stamford Bridge baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 89 katika ushindi wa 2-1 wa Chelsea dhidi ya West Ham.
Katika mchezo huo wa Premier League, Costa alilambwa kadi ya njano kwa kubishana na refarii  Anthony Taylor, baadae akamkoromea vikali mchezaji mwenzake Nemanja Matic  huku pia akinusurika kupewa kadi nyekundu kwa kumchezea faulo mbaya kipa Adrian wa West Ham.
Eden Hazard aliifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 47 kwa njia ya penalti iliyopatikana baada ya Cesar Azpilicueta kuangushwa na Michail Antonio.
James Collins akasawazisha dakika ya 77 lakini Costa ndiye aliyeibuka shujaa kwa bao lake la ushindi dakika ya 89.
Diego Costa had the last word with an 89th minute strike
Diego Costa akiifungia Chelsea bao la ushindi
Costa was lucky to be still on the pitch to score the winner after  a crude challenge on West Ham keeper Adrian
Costa alikuwa na bahati kwa kutopewa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu kipa Adrian wa West Ham wakati huo tayari akiwa ameshapewa kadi ya njano
Goalkeeper Adrian was clearly incensed by the crude challenge of the Chelsea striker in the second half
Kipa Adrian akionyesha madhara ya rafu ya Costa
Costa appeared to exchange words and shove team-mate Nemanja Matic after being booked in the 20th minute
Costa akimkoromea Nemanja Matic 
 Referees have been told to crackdown on dissent and the Chelsea striker was duly shown the yellow card
 Costa akilambwa kadi ya njano

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *