CHELSEA YASEMA SASA "RUKSA" FABREGAS KUTUA JUVENTUS

KLABU ya Chelsea imedokeza kuwa ipo tayari kumuuza kiungo wake mahiri kutoka Hispania, Cesc Fabregas anayewaniwa na Juventus.


Chelsea wanasemekana kuwa tayari kuwapiga bei wachezaji wake wengi akiwemo Fabregas mwenye miaka 29, ambaye msimu uliopita aliwazingua na kukaribia kuishusha timu daraja licha ya kulipwa fedha ndefu.

No comments