Habari

CHELSEA YAWEKA MEZANI PAUNI MILIONI 32 KUMREJESHA DARAJANI BEKI DAVID LUIZ

on

Chelsea imepeleka maombi ya kuduwaza ya kutaka kumsajili beki wake za zamani  David Luiz kwa pauni milioni 32.
Hiyo inakuja ikiwa ni miaka miwili tangu Chelsea  wamuuze Mbrazil huyo kwenda PSG kwa dau lililovunja rekodi ya mabeki duniani – pauni milioni 50.
Chelsea wanahaha kusaka sentahafu baada ya juhudi zao za kutaka kumsajili Alessio Romagnoli wa AC Milan na Kalidou Koulibaly wa Napoli kukwama.
David Luiz could be set for a return to Chelsea as the west London club eye a £32m move
David Luiz huenda akarejea Chelsea
Luiz (right) could be set for a reunion with John Terry and Co as Chelsea try to re-sign him
Luiz (kulia) enzi zake akiwa Chelsea sambamba na John Terry 

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *