DANNY DRINKWATER AGOMA KUONGEZA MKATABA MPYA LEICESTER CITY

KIUNGO Danny Drinkwater amekataa kusaini mkataba mpya Leicester City ambao ungemwezesha yeye kulipwa pauni 80,000 kwa wiki.


Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu England wataongeza ofa hiyo mpaka pauni 100,000 kwa wiki.

No comments