EVERTON YAINGIA KWENYE MAZUNGUMZO NA NEWCASTLE JUU YA KUWAPORA KIUNGO MOUSSA SISSOKO

EVERTON imekuwa ikifanya mawasiliano na klabu ya Newcastle juu ya kutaka kumsajili kiungo wao, Moussa Sissoko kwa pauni mil 35. Inter Milan na Juventus nazo zinavutiwa na mpango huo.

No comments