EVERTON YAKARIBIA KUMSAINISHA BEKI AYMEN ABDEMNOUR WA VALENCIA

TIMU ya Everton iko karibu kumnasa beki wa Valencia, Aymen Abdennour baada ya Sunderland kuamua kuachana naye na badala yake kuamfukuzia Lamine Kone.


Gazeti la Daily Mirror liliripoti jana kuwa awali miamba hao wawili ndio walikuwa wakichuana katika mbio za kuwania huduma ya nyota huyo lakini baadae Sundeland wakamua kuachana nae.

No comments