FC BARCELONA MBIONI KUMNASA STRAIKA PACO ALCACER WA VALENCIA

TIMU ya Barcelona inasemekana kuwa katika hatua za mwisho za kumnasa straika wa Valencia, Paco Alcacer.


Mtandao wa Sport ulieleza juzi kuwa mazungumzo baina ya pande zote mbili yameshakamilika na kilichobaki ni nyota huyo kumwaga wino kwenye mkataba wake.

No comments