GUARDIOLA AMCHANA JOE HART AKIMWAMBIA "KAMA VIPI SEPA"

MLINDA mlango wa Manchester City, Joe Hart ameelezwa wazi na kocha wake, Pep Guardiola kuwa anaweza kuondoka ndani ya timu hiyo kwani anataka kumchukua kipa mwingine ambapo Claudio Bravo anahusishwa na dili hilo.


Baada ya kusikia kuwa Hart hana muda mrefu ndani ya City, Everton imeanza kumnyatia kipa huyo.

No comments