INTER MILAN WAANZA KUMNYATIA KIUNGO LUCAS LEIVA WA LIVERPOOL

MIAMBA ya soka Italia, klabu ya Inter Milan imeanza harakati za kumnyakua kiungo wa Liverpool, Lucas Leiva ambaye alihusishwa kutua ndani ya klabu ya Galatasaray wiki iliyopita kabla ya kocha wa Liver, Jurgen Klopp kukata dili hilo.

No comments