JACK WILSHERE AWACHONGEA WACHEZAJI ENGLAND KWA MASHABIKI

KWA kile ambacho unaweza kusema ni kama kawa chongea kwa mashabiki, staa Jack Wilshere amesema kwamba yeye pamoja na wachezaji wanzake wa timu ya taifa ya England wanastahili kushangiliwa kwa kuzomewa wakati watakapokuwa wakishuka uwanjani kwenye Ligi Kuu England katika michuano ya fainali za mataifa ulaya ya Ulaya Euro 2016.

Wakati wa faina hizo England iliku wa imehaidi kufanya makubwa, lakini kwa mala nyingine tena ikafanya vibaya kwa kufungwa mabao 2-1 na Iceland katika hatua ya 16 bora.

Kutoka na hali hiyo kiungohuyo wa Arsenal, Wilshere anasema kwamba yana tia aibu na hivyo wachezaji wa timu hiyo ya taifa wanatakiwa kurejesha ushindi na himani kwa mashabiki wao.

“Nadhani tunastahili kuzomewa kwa sababu tunafahamu tunafanya vibaya. Tunafahamu hatukuweza kufikia matarajio ya nchi,” alisema kiungo huyo.


“Hatukuweza kufanya vizuri. Na kwetu sisi kama sisi kitu kikubwa kinachotakiwa ni kujiangalia wewe mwenyewe. Sisi kama wachezaji hatukufanya vizuri kiasi cha kutosha,” aliongeza staa huyo.

No comments