Habari

JAMES RODRIGUEZ AIWEKA ROHO JUU MANCHESTER UNITED

on

Real Madrid's James Rodriguez's Colombian entourage have already held talks with Chelsea
JE mshambuliaji wa Real Madrid James Rodriguez atatua Manchester United? hilo ndio swali wanalojiuliza wachambuzi wa soka baada ya kuelezwa kuwa Jose Mourinho amepania kumsajili kabla dirisha la usajili halijafungwa.
Rodriguez raia Colombia 
amekuwa akizivutia klabu mbalimbali za Ulaya lakini Mourinho ndiye aliyehusishwa zaidi na harakati za kumwania mshambuliaji huyo aliyepoteza amani Real Madrid.
Tetesi zimewanukuu watu wa karibu na James Rodriguez wakisema kwamba kuna uwezekano mkubwa wa mshambuliaji huyo kutua Old Trafford, lakini Mourinho nae amenukuliwa akisema hakuna jina kubwa litakalosajiliwa kabla ya dirisha la usajili halifungwa.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *