JUSTIN BIEBER AJIKOKI NGUO YA NDANI (KUFULI) YA DEMU WAKE NA KUTANUA NAYO

RAPA Justin Bieber ametoa mpya ya kuwaacha watu midomo wazi baada ya kuonyesha nguo ya ndani aliyovaa ya mpenzi wake mpya, Sofia Richie.

Bieber amefunga safari hadi nchini Italia kwa ajili ya kwenda kutanua na kimwana huyo aliyeanzisha uhusiano nae hivi karibuni.

Wawili hao walitupia picha nyingi za matanuzi yao kwenye mitandao ya kijamii ambapo kila mmoja ameonekana kufurahia penzi lao changa.


Sofia ni mtoto wa gwiji la muziki nchini Marekani, Lionel Richie ambaye amenukuliwa akisema anaamini kuwa binti yake yuko kwenye mikono iliyo salama.

No comments