KARDASHIAN, KYLIE JENNER WAMALIZA BIFU LAO LILILODUMU MIAKA 17

SUPASTAA Kim Kardashian amesema kuwa wamezika bifu kati yake na Kylie Jenner ambalo lilidumu kwa miaka 17.
Wasanii hao walikuwa mbalimbali kwa kipindi hicho chote kwa kile kinachoelezwa kuwa wawili hao waliwahi kugombea bwana.


Kwa kipindi chote hicho, watu kadhaa walijitahidi kuwapatanisha wasanii hao bila mafanikio na ilibidi waachwe hadi juzi walipotangaza wenyewe kuzika bifu hilo.

No comments