KINDA AMADOU DIAWARA WA BOLOGNA ACHOMOA PAUNI 14.7 ZA ASTON VILLA

KIUNGO kinda wa Bologna, Amadou Diawara mwenye miaka 19, amekataa ofa ya pauni mil 14.7 iliyowasilishwa na Aston Villa ya Ligi Kuu England.


Mchezaji huyo ameweka wazi kuwa anasubiri ofa ya kuitumikia klabu anayoizimikia ya AS Roma.

No comments