KIPA THIBAUT COURTOIS ASEMA HATOONDOKA CHELSEA

MLINDA mlango wa klabu ya Chelsea, Thibaut Courtois amekata mzizi wa fitina baada ya kuweka wazi kuwa hatoondoka kikosini hapo baada ya kipindi kirefu kuhusishwa kutua kwa miamba ya Hispania, klabu ya Real Madrid.

No comments