KOCHA STOKE CITY AMWEKA SOKONI MLINZI WAKE MARC WILSON

KOCHA wa Stoke City, Mark Hughes amesema yupo tayari kupokea ofa yoyote ya kumuhitaji mlinzi wake raia wa Jamhuri ya Ireland, Marc Wilson.


Hughes alisema jna kuwa Wilson mwenye miaka 28 ni mmoja wa walinzi wazuri lakini hataki kufanya kazi na mchezaji asie na mapenzi na timu yake kwakuwa ataigharimu.

No comments