KOCHA WA PESCARA AMKANA MARIO BALOTELI

RAIS wa klabu ya Pescara, Daniele Sebastian ameweka wazi kuwa klabu yake haina mpango wa kumsajili straika wa Liverpool, Mario Baloteli (26) kama inavyoripotiwa na vyombo vya habari.

No comments