LIVERPOOL YACHOMOA OFA YA CRYSTAL PALACE KWA BENTEKE

KLABU YA Liverpool imekataa ofa ya pauni mil 13 pamoja na nyongeza ya pauni mil saba kutoka kwa Crystal Palace inayotaka kumsajili straika wao, Christian Benteke.

No comments