LYON YAJIPANGA KUIKATA MAINI ARSENAL KWA KUMPA ALEXANDRE LACAZETTE MKATABA MPYA

KLABU ya Lyon imesema kwamba inajiandaa kumpa mkataba mpya nyota wake, Alexandre Lacazette na huku ikiikata maini Arsenal ambayo ilikuwa ikimtaka kwa kueleza kuwa ni lazima ijikamue kitita cha pauni mil 60 ndipo itaweza kupata huduma yake.


Gazeti la Daily Telegraph liliripoti juzi kuwa bei inaweza kuwa kubwa kwa Gunners ambao walikuwa wakimwinda kwa udi na uvumba.

No comments