MAN FONGO ASEMA HAPENDI KUWA "KUSHUGHULIKA" NA WANAWAKE WENYE MAJINA


MWIMBAJI wa muziki wa Singeli Bongo anayefanya vizuri na wimbo wake “Hainaga Ushemeji”, Man Fongo ameeleza kuwa hapendi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake maarufu.

Alisema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha “The Base” cha ITV.


“Katika ndoto zangu mimi napenda kuwa na mtu wa kawaida na sio supastaa na ndio maana nikaamua kuoa mapema,” alisema Man Fongo alipoulizwa kama kuna msanii yeyote anayemtamani kutoka nae kimapenzi.

No comments