MANCHESTER CITY BADO YAMYATIA ANTE CORIC WA DYNAMO ZAGREB


Manchester United, Liverpool and Arsenal have all made enquiries over his availability
KLABU ya Manchester City bado inatajwa kumnyatia kinda wa Dynamo Zagreb - Ante Coric. 

Siku chache zilizopita City itajwa kutenga  pauni mil 10 ili kumsajili mchezaji huyo kabla ya uvumi huo kupotea, lakini  sasa kocha Pep Guardiona amehusishwa tena na usajili wa Coric.

Nyota huyo wa Croatia mwenye miaka 19 amekuwa mmoja wa vipaji vinavyosakwa kwa kila namna na miamba wa soka barani Ulaya.

No comments