City's players rush to congratulate Nolito, whose first goal for the club all but wrapped up the two-legged tie


MANCHESTER CITY ikiwa imewaacha nyumbani wachezaji nyota wenye zaidi ya thamani ya pauni 100, ikaweza kuishindilia Steaua Bucharest ya Romania 5-0 katika mchezo wa kufuzu Champions League.

Sergio Aguero akakosa penalti mbili lakini bado akaweza kutikisa  nyavu mara tatu huku David Silva akiwa nyota wa mchezo.

Kipa namba moja wa England Joe Hart kwa mara nyingine tena ameendelea kusugua benchi huku golini akisimama Caballero.

STEAUA BUCHAREST (4-2-3-1): Nita 6.5; Enache 4.5, Tamas 5, Tosca 5, Momcilovic 5; Achim 4.5 (Bourceanu 46, 6), Sulley 4 (O Popescu 67); Popa 6.5, Stanciu 6.5, Hamroun 6; Golubovic 5 (Tudorie 46, 6). Subs: Cojocaru, Mitrea, Aganovic, D Popescu.

MAN CITY (4-2-3-1): Caballero 6.5; Zabaleta 7 (Sagna 70), Stones 6.5, Otamendi 6.5, Kolarov 6.5 (Clichy 75, 6); Silva 8, Fernandinho 7; Nolito 6.5, De Bruyne 6.5 (Fernando 80), Sterling 7; Aguero 7. Subs: Hart, Delph, Navas, Iheanacho.

Wafungaji: Silva 13, Aguero 41, 78, 89, Nolito 49

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac