MANCHESTER CITY YAMALIZANA NA CLAUDIO BRAVO KUHUSU KUZIBA PENGO LA JOE HART

TIMU ya Manchester City imefikia makubaliano binafsi na mlinda mlango Claudio Bravo ili aweze kuziba pengo la nyota wao Joe Hart.


Kwa mujibu wa vyanzo vya habari kutoka ndani ya klabu hiyo, kocha wao Pep Guardiola kwa sasa anamuona staa huyo ndie anayeendana na falsafa zake kuliko mlinda mlango namba moja wa timu ya taifa ya England, Joe Hart.

No comments