WACHEZAJI wapya wa Manchester City Ilkay Gundogan na Leroy Sane wamerejea mazoezini tayari kwa mchezo wa marudiano wa Champions League dhidi ya Steaua Bucharest.

Wawili hao pamoja na Vincent Kompany, walikuwa nje ya timu kwa majeraha mbali mbali lakini walikuwepo Pep Guardiola alipoendesha mazoezi Jumanne asubuhi.

Wakati Kompany na Gundogan wameachwa na City kwenye kikosi kitakachocheza mchezo huo wa Champions League, Sane amejumuishwa kufuatia usajili wake wa pauni milioni 42 kutoka Schalke.
Ilkay Gundogan attempts a flick as he returned to full Man City training following his move
Ilkay Gundogan akiwa mazoezini na Man City 
City captain Vincent Kompany returned after being sidelined following thigh surgery
Nahodha Vincent Kompany amerejea mazoezini
Pep Guardiola took City training ahead of Wednesday's Champions League play-off
Pep Guardiola akikiweka sawa kikosi chake
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac