MANCHESTER UNITED YAANZA KWA MWENDO KASI PREMIER LEAGUE ...yaikalisha Bournemouth 3-1

The 34-year-old was mobbed by his team-mates as United boss Jose Mourinho barks out instructions
JOSE MOURINHO ameonyesha mabadiliko makubwa kwenye soka la Manchester United iliyoanza kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya Bournemouth kwenye mchezo wa Premier League.
Ikiwa ugenini, United ikatandaza soka la hali ya juu iliyowapelekea kupata bao la kuongoza dakika ya 40 kupitia kwa Juan Mata.
Magoli mengine ya United yalifungwa na Wayne Roooney dakika ya 59 na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 65 na kuipa  ushindi wa kwanza United wa mabao matatu ugenini tangu Oktoba 17, 2015. 
Bao la kufutia machozi la Bournemouth lilifungwa na Adam Smith kunako dakika ya 69.
Bournemouth: Boruc, Francis, Adam Smith, Steve Cook, Daniels, Ibe, Surman, Arter, Lewis Cook, Wilson, King. 

Man Utd: De Gea, Valencia, Bailly, Blind, Shaw, Fellaini, Herrera, Mata, Rooney, Martial, Ibrahimovic. 


Zlatan Ibrahimovic ameanza mchezo wa kwanza wa Premier Legue kwa kuifungia  Manchester United dhidi ya Bournemouth
Ibrahimovic scored their third goal of Sunday afternoon with this long-range effort
Ibrahimovic akiifungia United bao la tatu


No comments