MARIO BALOTELI AKOSA TIMU YA KUJIUNGA MSIMU UJAO

MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Mario Baloteli mwenye miaka 26, amekosa timu ya kujiunga nayo licha ya klabu yake kumfungulia milango.


Baloteli aliyetumia msimu uliopita kuitumikia AC Milan, anatarajia kujiunga na Pescara ya kwao Italia, lakini klabu hiyo chini ya rais Daniele Sebastiani imebadili uamuzi.

No comments