MARIO GOMEZ AMPA NAFASI BENTEKE WESTHAM UNITED

UAMUZI wa Mario Gomez kuitosa Besiktas ya Uturuki, umeilazimisha klabu hiyo kuungana na Westham United na Everton zinazochuana kuwania saini ya mshambuliaji Christian Benteke.


Taarifa kutoka Uturuki zinasema kuwa, miamba hiyo imeingilia kati usajili wa Benteke baada ya mshambuliaji huyo mahiri wa Ujerumani kuamua kuondoka Uturuki.

No comments