MLINZI JOSE FONTE WA SOUTHAMPTON AKANUSHA KUWA NA MPANGO WA KUTUA MAN UNITED

MLINZI wa Southampton, Jose Fonte mwenye miaka 32, amekanusha mpango wa kujiunga na Manchester United.


Hata hivyo, Fonte amesema United ni moja ya klabu kubwa duniani hivyo anajisikia faraja kuhusishwa na kujiunga nayo bila kujali kama zilikuwa ni tetesi zisizo na ukweli.

No comments