Mkhitaryan joined United for £26m after a superb season with Borussia Dortmund last term

WATU wengi wamekuwa wakishangazwa na kitendo cha Jose Mourinho kumsugulisha benchi Henrikh Mkhitaryan aliyesajiliwa kwa pauni milioni 27 kutoka Borussia Dortmund, lakini kocha huyo Mreno analo jibu fupi tu juu ya utata huo.

“Ni uchaguzi, bado tuna mechi nyingi na ni suala la kusubiri,” alijibu Mourinho alipoulizwa kuhusu kukosekana kwa Mkhitaryan kwenye kikosi cha kwanza.

Mchezaji huyo alitarajiwa kuwemo moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo lakini mambo yameonekana kuwa tafauti na mara zote amelazimika kuingia akitokea benchi.USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac