MWAMUZI BERNADETTAR APEPERUSHA BENDERA YA AFRIKA RIO DE JANEIRO

MWANAMICHEZO Bernadettar Kwimbira ndiye mwamuzi pekee wa kike anayepeperusha bendera ya Afrika katika michuano ya Olimpiki mwaka huu.

Mwamuzi huyo kutoka nchini Malawi ni Mwafrika anayepeperusha bendera hiyo huko Rio de Janeiro katika michuano ya Olimpiki.


Amekuwa ni mwamuzi anayefanya vyema hadi sasa ambako mechi za wanawake zimeingia hatua ya nusu fainali.

No comments