MWIGIZAJI mwenye kupenda kujianika, Ayo Adesanya amefunguka na kusema kuwa kwa sasa umri unamtupa mkono na kwamba amekuwa bibi na sio mama tena.

Ayo alibainisha hayo Jumatano iliyopita, Agosti 11, wakati akiadhimisha kuzaliwa kwake akisema ametimiza miaka 46 tangu kuzaliwa kwake.


Mkali huyo kutoka mji wa Yoruba alisema anamshukuru Mungu kwa kumuweka salama hadi sasa akisema wengi hawaufikii umri huo.
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac