NAPOLI WAJIPANGA KUMSAINISHA CARLOS TEVEZ MWENYE MZUKA WA KUBAKI ARGENTINA

KLABU ya Napoli wanajipanga kutwaa saini ya straika wa Boca Juniors, Carlos Tevez ingawa mchezaji huyo anataka kubaki Argentina na huku wakala wake anapenda kumuona akijiunga na Inter Milan.

No comments