OZIL ASEMA ANAWEZA KUREJEA REAL MADRID DAKIKA YOYOTE AKIPATA NAFASI

LICHA ya staa Mesut Ozil kujiandaa kusaini mkataba mpya na Arsenal, lakini amesema kuwa anaweza kurejea kwa haraka kwenye klabu yake ya zamani ya Real Madrid endapo atapewa nafasi hiyo.

No comments