PICHA 12: JAHAZI ILIVYOTESA TRAVERTINE JUMAPILI USIKU BILA MZEE YUSSUF


SASA ni rasmi kuwa Mzee Yussuf ameachana na muziki wa kidunia na bendi yake aliyoisisi – Jahazi Modern Taarab - inaanza maisha mapya bila msanii huyo aliyekuwa mmiliki, mtunzi, mwimbaji na mpiga kinanda.

Jumapili usiku Jahazi ikafanya makamuzi kwenye ngome yao ya kila Jumapili, Travertine Hotel Magomeni na kukonga vilivyo nyoyo za mashabiki wao.

Si wasanii wala mashabiki walioonyesha hofu ya kuyumba kwa bendi yao baada ya Mzee Yussuf kutangaza kung’atuka ili apate wasaa wa kumcha Mwenyezi Mungu.

Pata picha kadha za onyesho hilo la Jahazi ndani ya Travertine Hotel.
Khadija Yussuf akiwa kwenye tabasamu mwanana
   Aisha Vuvuzule akiimba moja ya nyimbo za Jahazi
 Chid Boy kwenye kinanda
 Emeraa akipiga gita kwa hisia kali
Madansa wa Jahazi wakiwajibika jukwaani
Mashabiki wa Jahazi wakicheza nyimbo za bendi yao pendwa
Mohamed Mauji akicharaza solo gitaa
 Wadau Juma Mbizo (kushoto) na Kamba Lufo
 Mwimbaji Mish Mohamed akishambulia jukwaa kwa mbwembwe
 Mish Mohamed  akitesa na wimbo wake "Nia Njema Hairogwi"
Mohamed Ally "Mtoto Pori" mmoja wa waimbaji tegemeo wa Jahazi
Aisha Vuvuzela jukwaani

No comments