Habari

PICHA 15: JAHAZI ILIVYOFUNIKA DAR LIVE JUMAMOSI USIKU …Prince Amigo, Mishi watia fora

on

KAMA ambavyo Jahazi Modern Taarab haijawahi kuharibu ndani ya ukumbi
wa Dar Live, ndiyo jana historia ilivyoendelea kujirudia.
Kundi hilo bora la taarab likapiga bonge la show ndani ya ukumbi huo
mkubwa zaidi wa burudani ulioko Mbagala jijini Dar es Salaam.
Mamia ya watu waliofurika Dar Live wakazuuzika na show ya Jahazi huku
waimbaji Prince Amigo na Mishi Mohamed waking’ara zaidi.
Amigo na Mishi kila mmoja kwa wakati wake, alifanikiwa kukusanya
kijiji kikubwa kwenye ‘dancing floor’ huku pia wakishambulia show za nguvu sambamba na
madansa wa Jahazi.

Pata picha 15 za onyesho hilo la Jahazi ndani ya Dar Live huku pia
ukikumbuka kuwa kundi hilo litakuwa na show maalum Jumapili ya August 28 pale
Travertine katika uzinduzi wa video ya albam nzima ya “Kaning’ang’ania”
 Emeraa Soloo
 Fatma Mcharuko
 Hadija Yussuf
 Hadija Yussuf akipagawisha
 Hadija Yussuf akiendelea kupagawisha mashabiki wake
 Umati wa watu walijazana Dar Live waburudika na Miriam Amour
 Mohamed Mauji mkali wa solo gitaa
 Miriam Amour
 Mishi Mohamed mmoja waimbaji waliotesa sana Dar Live kwenye onyesho la Jahazi
 Mamia ya watu waliofurika Dar Live
Amigo (kushoto) akishambulia jukwaa
 Nyomi la Jahazi jana ndani ya Dar Live
 Prince Amigo jukwaani
 Mishi Mohamed
Zubeida Mlamali

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *