Habari

PICHA 15 ZA SIKINDE WALIVYOITEKA DDC KARIAKOO JUMAPILI USIKU

on

Mlimani Park Orchestra “Sikinde Ngoma ya Ukae” Jumapili usiku walipiga
show ya kutakata ndani ya ukumbi wao wa nyumbani DDC Kariakoo, jijini Dar es
Salaam.
Onyesho hilo lililoandaliwa na Mbizo Entertainment chini ya mdau Juma
Mbizo, likapambwa na zawadi mbali mbali zilizotolewa kwa kwa kina mama.
Mgeni rasmi wa onyesho hilo alikuwa ni Asha Baraka mkurugenzi wa bendi
ya Twanga Pepeta ambaye pia alipewa heshima ya kutoa zawadi za washindi wa papo kwa papo.
Juma Mbizo aliiambia Saluti5 kuwa utaratibu huo wa kupongezana kwa
zawadi mbali mbali utakuwa ukiendelea kila Jumapili hapo hapo DDC Kariakoo.

Tupia macho picha 15 za onyesho hilo la Sikinde.
 Jamwaka kwenye tumba
 Juma Choka kwenye drums
 Wadau wa Sikinde kutoka kushoto ni William Kaijage, Shaaban Mzee, Mashaka Amir, Fatuma Munene, Kichuna wa Kimakua na Zaitun
 Karama Regessu (kushoto) na Abdallah Hemba wakiongoza safu ya waimbaji
 Hao ndiyo wenye Sikinde yao Kichuna wa Kimakua, Fatuma Munene na Zaytun
 Shaaban Lendi (kushoto) na Kaingilila Maufi
 Asha Baraka (kushoto) akikabidhi zawadi kwa washindi
 Juma Mbizo (kushoto) akiwa na wageni wake akiwemo Asha Baraka (wa pili kutoka kulia) 
 Wakali wa trumpet Mbaraka Othman (kushoto)  na Hamis Mirambo
 Mjusi Shemboza na gitaa lake la kati
 Ramadhan Mapesa kwenye solo gitaa
 Tony Karama akingurumisha bass gitaa
 Waimbaji wa Sikinde wakifanya yao
 Safu nzima ya waimbaji wa Sikinde
Mashaka Amir, William Kaijage na Fatuma Munene ndani ya DDC Kariakoo

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *