REAL MADRID YAPEWA OFA YA KUMSAJILI CESC FABREGAS

WAWAKILISHI wa kiungo Cesc Fabregas wameipa klabu ya Real Madrid ofa ya kumsaini kiungo huyo ambaye kwa sasa anapanga kuihama Chelsea kipindi hiki cha usajili kinachoendelea.

No comments