SAIDO BERAHINO AKUBALI KUMALIZIA MKATABA WAKE WA MWAKA MMOJA ULIOSALIA WEST BROM

STRAIKA wa West Brom na mchezaji wa zamani wa kikosi cha England U-21, Saido Berahino mwenye umri wa miaka 23, amekubali kumalizia mkataba wa mwaka mmoja uliobaki ili aondoke bure msimu ujao.


Berahino ameyasema hayo wakati huu ambapo klabu za Crystal Palace na Stoke City zikimfukuzia, lakini West Brom wamezidi kumuwekea ngumu.

No comments