TOTTENHAM YATENGEA MIL 13 KWA AJILI YA KUNASA SAINI YA ADRIEN SILVA WA FC SPORTING

KLABU ya Tottenham inasemekana kutenga fungu la pauni mil 13 kwa ajili ya kumsajili staa Adrien Silva ili kuimarisha safu yake ya kiungo.

Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, vinara hao wa Ligi Kuu England walivutiwa na nyota huyo wa timu ya FC Sporting wakati akichezea Ureno katika fainali za Mataifa ya Ulaya “Euro 2016”.

No comments