VUMBI LA PREMIER LEAGUE LAANZA: HULL CITY YAICHAPA LEICESTER CITY 2-1


MABIWA watetezi Leicester City wameonja joto ya jiwe baada ya kufungwa 2-1 na Hull Cit katika mchezo wa kwanza wa  Premier League.

HULL CITY (4-1-4-1): Jakupovic 6; Elmohamady 6.5, Livermore 6.5, Davies 6.5, Robertson 6; Clucas 6.5; Snodgrass 7.5, Meyler 6, Huddlestone 6, Diomande 7.5; Hernandez 6.5
Wafungaji: Diomande 45+1, Snodgrass 57

LEICESTER CITY (4-4-2): Schmeichel 6; Simpson 6.5 (Ulloa 83), Hernandez 5.5, Morgan 5.5, Fuchs 6.5; Mahrez 6.5, King 6 (Amartey 68, 6), Drinkwater 6, Gray 6 (Okazaki 68, 5.5); Musa 6.5, Vardy 5.5
Mfungaji: Mahrez 47No comments