WACHEZAJI wa Leicester wamefichua kuwa walijaribu bila mafanikio kumzuia kiungo N'Golo Kante asijiunge na Chelsea kiangazi hiki.

Wakizungumza na Sky Sports ya Uingereza, wachezaji wa Leicester Danny Simpson, Marc Albrighton na Christian Fuchs wakasema  walijaribu  hadi kuunda  group maalum la WhatsApp la wachezaji wote wa klabu ili kumshawishi Kante asiondoke, lakini haikusaidia kitu.

Kante ndiye mchezaji pekee mwenye jina kubwa kuondoka akijiunga na Chelsea kwa pauni milioni 32. 
Leicester players started a WhatsApp group in bid to convince N'Golo Kante to stay
Wachezaji wa Leicester walipambana kumzuia  N'Golo Kante bila mafanikio
Kante was the only high-profile player to leave  after completing a £32m move to Chelsea
Kante sasa ni mchezaji mpya wa Chelsea

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac